Vijana walio sma miaka yanyuma Kaole secondary iliyokuwa kambi ya Frelimo enzi a kugomea uhuru, waliamua kwenda shuleni hapo Bagamoyo 31December 2011, bila yakuto Taarifa kwa walimu wao, ilikuwa ni mshituko huko, bt walikuta mabadiliko makubwa kutokana na walivyopaacha zama hizo, kwani shule hiyo iliyokuwa ikiongozwa na umoja wawa Wazazi imebinafsishwa nakuwa chuo xha kilimo, so kuna uakarabati unaendelea pale na kitakuwa chuo kukubwa tu cha kilimo, hapo nyuma ilikuwa secondary na ufundi pia. Vijana hawa walisherehekea mwaka mpya huko nakurudi 1 Janury 2012.
No comments:
Post a Comment