Pages

Thursday, February 23, 2012

Dk. Hamisi Kigwangala


Taarifa ya Hoja Binafsi ya Hamisi Kigwangalla (MB, Nzega) kulitaka Bunge liazimie kuitaka serikali ilete bungeni mapendekezo ya ufumbuzi wa kudumu wa tatizo la ajira kwa vijana Tanzania yawasilishwa. Pamoja na azimio hilo kubwa maazimio mengine yatakuwa kuitaka serikali ianzishe mfuko wa mikopo ya ujasiriamali kwa vijana, pia kuanzisha mpango wa maeneo maalum kwa mazao maalum kwa uwekezaji wa vijana, na kuleta mapendekezo ya sheria maalum ya kusajili ardhi inayotumika kwa ajili ya mashamba na viwanda n.k. Actions speaks louder than words! Nimeanza utekelezaji jamani, niombeeni DUA nifanikishe mpango huu!

No comments:

Post a Comment