Wanaharakati wa mjini Dar es salaam tangu jana waliahidi kufanya maandamano, yameanza mchana huu lasmi leo 8/2/2012, wamejaa katika makitano ya narabara ya Ally hasanyi mwinyi, na ocea roa pale Pam bich, kona yakuelekea muhimbili.
to honest seirkali ya Kikwete nilazima ijue kuwa iko madarakani ili kunusuru Taifa na sio kuteketeza wananchi wake, hili swala lingekuwa nimasilahi yao wanasiasa wangesha lipatia utatuzi sa kwakuwa ni wakina kajamba nani hakuna anaesikia hilo, si vizuri jamani. Raisi Kikwete Taifa linakutizama wewe tena co waziri wala mbunge wala mkuu wa mkoa.
Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Africa na Dunia nzima, asant kwakusoma Blog yangu.
KARIBU SANA............................!!!!!!!!!!!!
No comments:
Post a Comment