Pages

Monday, February 20, 2012

UZINDUZI WA BARAZA LA WAFANYAKAZI

Waziri wa Nishati na Madini Mh. W.M. Ngeleja ambaye pia Mbunge wa jimbo la Sengerema akimkabidhi mkataba wa baraza la wafanyakazi mwenyekiti wa baraza Prof. A.H. Mruma ambaye ni Mtendaji Mkuu wa GST.* Wajumbe wa baraza wakimsikiliza mgeni rasmi hayupo pichani juu ya umuhimu wa baraza la wafanyakazi mahali pa kazi. *Baadhi ya wajumbe wa baraza la wafanyakazi GST wakiwa katika picha ya pamoja , hafla ya uzinduzi ilifanyika katika ukumbi wa St.Gaper nje kidogo ya mji wa Dodoma* *Wakala wa Jiolojia Tanzania (GST) yazindua rasmi Baraza la wafanyakazi , tarehe 19 /02 /2012 

No comments:

Post a Comment