Pages

Monday, June 18, 2012

AOTA MATITI BAADA YAKUTUMIA ARV's..............!!!!

Mkazi wa Magomeni wilayani Bagamoyo, Bwana Khamisi Tanga (46) ameota matiti ni baada yakutumia ARV's,
Alisema ilimtokea hali hiyo miaka mitatu 3 iliyopita, amesema hali hiyo ilianza taratibu kwakuona matiti yakiongezeka mpaka yakawa makibwa,. Ilimlazimu aende Hospitali alikokuwa akipata matibabu yake ya Kriniki nakuwaelezea madactari, ikawadi wamfanyei vipimo nakugundua kuwa imetokana na ARV's alizokuwa akitumia kwa muda.
Madactari walimbadilishia aina za Dawa alizokuwa akitumia bt haikuwa sababu pia yakupunguza Matiti hayo. alienda Muhimbili pia kwa matibabu zaidi bt hakuna tofauti yeyotee.
Anaomba msaada kwa watanzania ili aweze kuondokewa na  tatizo hilo, imekuwa nikawqaida kwa watumiaji wa dawa hizo kupaywa na tofauti ktk miili yao , unaweza unanenepa sana au ukanawili nakupendeza au tofauti yeyote ile inaweza jitokeza, alisema Docta Komakoma.

No comments:

Post a Comment