Diamond kamshukuru Wema Sepetu juzi ktk kipindi cha Radio mojahap a Mjini, Akidai anamshukutu Wema kwakumpiga brashi ya kiingereza kimahaba mpaka akafuzu coz ya kingereza kilimfanya afungunge na kutiririiiiika vema tkt mahojiano yake na waandishi wa BigbrotherAfrica, Huko Bondeni alikoenda kukisanua mbaya na mpaka wakashoboka kumtafuta wasanii wendine wakali aliokuwa hawamfaam vema kuwa Jamaaa ni jembe toka kwa Jakaya hapa Bongo land.
Big up Diamond. bt all jamaa alisema nivema mtu ukawa wakushukuru hata kama nijambo dogo umefanyiwa bt shuru itakujengea tasbia nzuri yakuwa mtu mwema wakushukuru na Mungu atakuzidishia pia. hivyo ndo prezdaaa wa wamasharooo baroooo alivyofunguka ktk Intarvew hiyo.
No comments:
Post a Comment