Ni wakazi wa ukonga wameandamana na kulala barabarani wanawake wametandika majamvi road kushinikiza kuwekewa matuta barabarani, cz wananchi hasa watoto wamekuwa wakigingwa kula siku na Gari, inasemekana kuwa kila siku walikuwa wakifa watu wa2, so kuna mgomo mpaka sasa nandika hii habari hapajatokea msaada wowote huko.
No comments:
Post a Comment