Castle lager Super fan yashika kasi nchini Tanzania
001- Tairosy Augustino Masangula mkazi wa Iringa Tanzania akishangilia mara baada ya kufanikiwa kuingia katika kinyanganyiro cha kushindania nafasi ya kuwakilisha nchi kwenye kuunda timu ya Castle Lager Supafan ya Afica Afica United Team itakayokuwa nchini Afrika ya kusini kushangilia mashindano ya Africon mwakani.
002 -Keneth Gwivammkazi wa Iringa Tanzania akishangilia mara baada ya kufanikiwa kuingia katika kinyanganyiro cha kushindania nafasi ya kuwakilisha nchi kwenye kuunda timu ya Castle Lager Supafan ya Afica Afica United Team itakayokuwa nchini Afrika ya kusini kushangilia mashindano ya Africon mwakani.
003 Happy Chatanda Mshindo Iringawa Iringa Tanzania akishangilia mara baada ya kufanikiwa kuingia katika kinyanganyiro cha kushindania nafasi ya kuwakilisha nchi kwenye kuunda timu ya Castle Lager Supafan ya Afica Afica United Team itakayokuwa nchini Afrika ya kusini kushangilia mashindano ya Africon mwakani.
004 Philipo Kidongososi wa Iringa Tanzania akishangilia mara baada ya kufanikiwa kuingia katika kinyanganyiro cha kushindania nafasi ya kuwakilisha nchi kwenye kuunda timu ya Castle Lager Supafan ya Afica Afica United Team itakayokuwa nchini Afrika ya kusini kushangilia mashindano ya Africon mwakani.
005 Stanley godfrey wa mwanjelwa Tanzania akishangilia mara baada ya kufanikiwa kuingia katika kinyanganyiro cha kushindania nafasi ya kuwakilisha nchi kwenye kuunda timu ya Castle Lager Supafan ya Afica Afica United Team itakayokuwa nchini Afrika ya kusini kushangilia mashindano ya Africon mwakani.
006 Keneth mwaiselo wa Airport mbeya Tanzania akishangilia mara baada ya kufanikiwa kuingia katika kinyanganyiro cha kushindania nafasi ya kuwakilisha nchi kwenye kuunda timu ya Castle Lager Supafan ya Afica Afica United Team itakayokuwa nchini Afrika ya kusini kushangilia mashindano ya Africon mwakani.
007 Michael Rocky manyoni wa singida Tanzania akishangilia mara baada ya kufanikiwa kuingia katika kinyanganyiro cha kushindania nafasi ya kuwakilisha nchi kwenye kuunda timu ya Castle Lager Supafan ya Afica Afica United Team itakayokuwa nchini Afrika ya kusini kushangilia mashindano ya Africon mwakani.
008 David Kihenge wa Mtwara Tanzania akishangilia mara baada ya kufanikiwa kuingia katika kinyanganyiro cha kushindania nafasi ya kuwakilisha nchi kwenye kuunda timu ya Castle Lager Supafan ya Afica Afica United Team itakayokuwa nchini Afrika ya kusini kushangilia mashindano ya Africon mwakani.
Picha zote kwa Hisani ya Intellectuals Communications Limited
No comments:
Post a Comment