Pages

Wednesday, September 12, 2012

Kashfa ya Ufisadi Bandari ya Dar

 
Baada ya kulalamikiwa tangu enzi za Mkapa, Bandari ya DAR walijidai watarekebisha na watarahisisha utaratibu wa kutoa mizigo

Sasa hivi unaambiwa kuwa hali imezidi kuwa mbaya. Yaani Meli ikishashusha makontena Dar inaelekea Mombasa basi wewe unaweza kutoa Contena au LORI lako kule Mombasa kwa chini ya masaa 12 tuu wakati DAR kuna UHAKIKA wa mizigo kukwama kwa MIEZI 4 mpaka 6

Sasa nishachoka kuwa mzalendo mfuata bendera

Nawashauri ndugu zanguni, kama muna Mizigo yenu au Magari yenu basi maneno MOMBASA


Na suala lingine ni la NUMBER PLATE registration

Hivi kama Tanzania ni nchi moja kwa nini Gari ziwe na number plate za ZANZIBAR? kwa faida ya nani? na kwa nini mtu ulipie kuwa na number plate za Zanzibar wakati nayo ni Tanzania? jE UNAPATA MATATIZO KUTOA MAGARI YAKO DAR?

Solution: SHUSHA GARI ZAKO ZANZIBAR achana na DAR kule kuna wazimu mtupu


CARGO AIRPORT:

Kule nako hali ni mbaya zaidi kuliko na solution za kule sizijui ila najua kuwa ukishusha ile moniitor ya APPLE COMPUTER basi jiandae kuambiwa kuwa NI KIFAA CHA SINEMA hivyo utatozwa kodi ya TV
ndio hali hiyo huko Nyumbani mnakopigiwa makelele muende kupeleka Investmentshttps://encrypted-tbn0.google.com/images?q=tbn:ANd9GcQXcc00-OjNJ0MZyoJkzYSO_eOLtBrihGC5-OC7D2mapYLqA26q


No comments:

Post a Comment