Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) limesema linashangazwa na ukimya wa serikali na vyombo vya dola kufuatia vitendo vya uhalifu dhidi ya Makanisa vyenye kuonyesha dhairi uvunjifu wa amani vikiendelea katika maeneo mbalimbali na kuhatarisha maisha ya watu.
No comments:
Post a Comment