Pages

Thursday, October 18, 2012

NAIBU WAZIRI WA JAJI ALIYEJIUZURU ADAI KUWA KAONEWA TU

j
Mh. Nancy Baraza
Aliyekuwa naibu wa jaji mkuu aliuejiuzulu rasmi hapo jana Nancy Makokha Baraza Anadai kuwa Ameonewa
Alikuwa na kashfa nyingi sana na ilimlazsimu kujihuzuru ili kupisha watendaji wengine wafanye kazi.
Na wakenya wengi wanatarajia mafanikio zaidi baada ya yeye kujihuzuru.

No comments:

Post a Comment