Leo majira ya saa 7:00 hrs asubuhi moto umeteketeza nyumba
Kasulu,Kigoma Opposite na Bank ya NMB Kasulu,ila mpaka sasa chanzo cha
moto huo bado akijajulikana kwa kweli inasikitisha wilaya kubwa kama hii
haina zima moto kabisa.
Vitu ambavyo vimeungua ni pamoja na maduka mawili ya electronics.,.na
duka na internet cafe imeteketea kwa moto....napongeza jesh la polisi
Kasulu kwa kazi nzuri iliyofanya...
No comments:
Post a Comment