Pages

Tuesday, May 21, 2013

Zimebaki siku chache, Dar to Nairobi Kabooommmm...!!! Nairobi to Dar es salaam Tour

Vijana wa Tanzania sasa wameanza harakati za kukwamua taifa lao kwa kutokulalamika na kutaka wafanyiwe kazi au kupewa fulsa mkononi. Wamegundua kuwa Fulsa zipo tu kila siku ni jinsi tu ya kuamua na kufanya, Kutokana na hayo kuna kundi la vijana wapambanaji wanaotaka kubadili ulimwengu huu wa sasa wakubweteka tuu. Vijana walioko ktk serikali ya Dar es salaam School of Journalism Student Organization (DASJOSO) 
 
Wamekuwa na mwamko wakufanya mambo makubwa na kiihistoria katika chuo hicho na Kwa jamii nzima ya Tanzania leo hii wamekuja na kitu kipya hiki. hii ni Safari ya kutoka Dar to Nairobi kisha Nairobi Dar....

Safari hii imeandaliwa na DASJOSO kwa kushirikiana na Tanzania youths actions against poverty TAYOPO.kwa lengo la kuwa expose Watanzania
kuwa washindani na sio wasindikizaji jumuiya ya afrika Mashariki
ni tare 9-14 Mwezi July
balozi wa safari hii ni linah sanga

Safari itaanzia viwanja vya Basata ILALA jijini Dar es salaam-Arusha-nairobi-Thika-Malindi-kukamilikia Mombasa.Tutajifunza waliyotuzidi wenzetu ili kuboresha.
MABALOZI WA SAFARI HII NI WASANII:-
 
1. LINAH
 
2. RECHO


3.HAFSA KAZINJA
 HAWA WOTE WATAAMBATANA NA KUNDI LA WADAU WASIOPUNGUA 60 TOKA Dar to Nairobi Kisha Nairobi to Dar.
Unapaswa kwenda inakuhusu sana Mdau wewe Hii aichagui wala Haibagui Mtu Njoo Fulsa ni sasa.
Acha kulalamika na kutafuta mchawi wa maisha yako wewe ndo kila kitu AMUA SASA.
ZIMEBAKIA SIKU CHACHE SANA WAHI NAFASI NI CHACHEEEEEEEEEEEEEEEEEE

No comments:

Post a Comment