Pages

Wednesday, July 10, 2013

ALLY REHMTULLAH 2014 COLLECTION 31st Agust 2013

Kama ilivyo kawaida ya Mwanaharakati na Dizaina huyu Bora wa Tanzania inaleta tena hii siku usiyopaswa kuikosa lakini kama utabaatika kupata mwaliko toka kwake, siku zote amekuwa akivunja rekodi kwa kufanya vema kila afanyavyo maonyesho hayo.
Lakini kama usipopata mwaliko unaweza fatilia maonyesho hayo Live hapa....
 www.ar.co.tz
Stay tune.

No comments:

Post a Comment