Inspekta Nsekelo Apigwa Risasi Tanga...!!
Mkuu wa Kituo cha Polisi Wilaya ya Kilindi Mkoani Tanga Inspekta Nsekelo
amejeruhiwa vibaya kwa kupigwa risasi na kundi la watu wasiojulikana waliokuwa
wanafanya mazoezi ya kijeshi katika vijiji vya Lolagana na Mwambe baada ya
kutokea mapambano baina ya kikundi hicho na polisi.
No comments:
Post a Comment