Mbele ya Roli hili unaweza kuona Gari ndogo iliyokuwa inaliongoza Roli hilo uku ikiwa na Mabando makubwa yasemayo DANGEL ABNOMAL ROAD. na nyuma ya Roli pia pembeni kuana maandishi na Vitambaa Vyekundu.
Lakini hapo hapo Maeneo ya Kimara Mwisho kumekuwa na Foleni nkubwa sana kutokana na Barabara kuendelea na matengenezo, sasa kumetokea uzembe na vurugu za Madereva kupenya penya na kusababisha mafoleni yasiyo na Ulazima. unaweza ona Roli hilo kushoto apo jiulize Dereva alitaka kupita wapi?
Lakini foleni lote hilo limesababishwa na Huyu ndugu mwenye Roli la Mbao ambae alipenya na kupita katikati ambako barabara niyavumbi kampuni yaujenzi ikifanya kazi na wamezuia sasa huyu bwana alibanwa na moja ya haya mazege waliyotumia kuzibia njia.
Ililazima Liitwe katapila hili ili kutoa hilo zege huyu bwana atoe Gari lake na waendao maofisini wawahi kwani walishakaa ktk foleni kwa zaid ya Lisaa
Ujenzi wa Daraja la kuvukia waendao kwa Miguu Kimara mwisho likiendelea kujengwa na Kituo pia cha abiria.
Foleni yakuelekea Mjini hiyo
Ujenzi Kimara Mwisho
Katapila aina ya Kijiko likitanua barabara maeneo ya Kimara mwisho pembeni mwa Kituo kipyaHii yote ni Juu ya serikali ya Mh. Jakaya mrisho Kikwete kwa Tiketi ya CCM ikishirikiana wana wananchi hodari wa Tanzania na wawekezaji.
No comments:
Post a Comment