Pages

Sunday, October 20, 2013

Wajue Viongozi wa CHEDEMA Tabia zao, Mienendondo yao na Mishe mishe zao yani Malengo yao.

WAJUE VIONGOZI na VIJANA WA CHADEMA AKILI ZAO, MITAZAMO YAO,NA MBINU ZAO

1. Ndani ya miaka 23 ya kusema wanapigania haki,uzalendo na maendeleo ya Taifa hili hawajawai kuchangia shuguli yoyote ya maendeleo hata ujenzi wa CHOO!! Tuu

2.Ndani ya Miaka 23 ya kupigania uzalendo na maendeleo kama wanavyodai hawajahai kufanya mandamano yoyote ya kuhimiza watanzania wafanye kazi au kuunga shughuri yoyote ya maendeleo kama vile kilimo kwanza...

3. Ndani ya miaka 23 ya uwepo wao badala ya kua wabunifu wa shughuri za maendeleo kama wanavyodai wao wamefanikiwa kua Wabunifu wa mitindo kama vile kubuni vazi la MGAMBO walilolipa jina GWANDA na kuongeza rangi NYEKUNDU katika bendera yao..

4. Ndani ya miaka 23 ya uwepo wao wamafanikiwa kubUni kauli mbalimbali za kushangaza Operasheni sangara"" mara operashen Vua gamba vaa gwanda, na nyingine nyingi Ikiwemo ya SASA M4C.. Kauli zote hizi lengo lake hua moja tuu kuitukana CCM badala ya kubuni kauli za kuhamasisha maendeleo kama vile operasheni chakaza umasikini au M4D MOVEMENT 4 DEVELPMENT wao hapana ni ujinga ujinga tuu..

5. Maadili katika swala la maadili viongozi wa chadema wanaandamwa na ukosefu wa maadili kwa mdaa mrefu viongozi wao wengi hawana ndoa wanaishi kihuni huni tuu sasa wamemponza mbowe naye kasaliti ndoa yake na Joyce Mukya na kumtelekeza mke wake wa ndoa liliani mbowe.. ni kwa sababu mdaa mwingi anaongozana na padre mzinifu Slaa lakini pia wabunge wengi wa chama hicho wanazingilwa na kashifa za Ngono zembe ikiwemo usagaji Halima mdee, uwepo wa UCHUMBA SUGU ZITO KABWE, JOHN MNYIKA, DR SLAA, HALIMA MDEE, SUGU wote ni uchumba sugu huku makazi yao hayaeleweki Uyahayaaa mwingi

6.UKABILA: Viongozi wengi wa chama hicho hutokea kaskazini tuu huku wakituhumiwa kuendekeza uchaga zaidi na ukaskazini kuanzia uteuzi wa viti maalumu mpaka nafasi za juu za chama.....

7.Wengi wanabaki njia panda linapokuja swala la uchaguzi ndani ya chama Wanahubiri democrasia na ni wakali saana ukihoji uchaguzi wa ndani ya chama utafanyika lini... Ombi kwa vijana wa chadema charity start at home hembu M4C isikume uchaguzi ufanyikee tuwapime kwanza kama mnaweza kua majasiri ndani ya chama chenu kabla hatujawapa serikali...

8. Huku wakiwa wameharibiwa na waandishi mashuhuri na wasomi wa kwanza waliofukuzwa nchi zao kwa kupinga serikali zao basi vijana wengi wa chadema ili waonekane wasomi basi Hukosoa serikali kama Fasheni waonekane wameelimika kwa kuelimika ni kukosoa serikali tuuu nje ya hapo hujaelimika

9. Huku wakiandamwa na sifa za kijinga za ukamanda basi vijana wengi wa chadema hujiona wao ni wajuwaji kauli zao hazipingwi ni sahihi hazikosolewi na wala haziojiwi wakizisema ni kutekelezwa tuu... Wakisahau democrasia sio hivyo hata Mungu alipingwa waje wawe wao

10. Mbinu zao zimebaki kama Fisi anaesubiri mkono wa mtuu uanguke au simba aue wale mzoga wanakesho usiku na mchana kuona wapi ccm inakosea kwa mawazo kwa maneno au kwa vitendo .. waseme huku wakiwa mabingwa wa Kudandia hoja na kusema ni zao..

12.Vijana hao walivyowajinga wanaambiwa ondokeni ccm ni chama cha wazee huku hawaambiwi waondoke makwao maana baba zao ni wazee halafu anaesema ccm ni chama cha wazee PADRE SLAA YEYE ANAFUKUZIA MIAKA 80 kweli Nyani haoni Kundule

11. Mwisho wakiandamwa na Ujinga waliolithi kwa mwenyekiti wao ambaye ni Mr ziro basi wote wameiga namna ya kuongea kwa mwenyekiti wao na swaga zote za mbowe akiongea Tundu lisu joshua nasari myika au sugu Tune zao zote zinafanana na mwenyekiti eti ni SAUTI ZA HARAKATI pumbafu zenu..

UKIAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO
WAJUE VIONGOZI na VIJANA WA CHADEMA AKILI ZAO, MITAZAMO YAO,NA MBINU ZAO

1. Ndani ya miaka 23 ya kusema wanapigania haki,uzalendo na maendeleo ya Taifa hili hawajawai kuchangia shuguli yoyote ya maendeleo hata ujenzi wa CHOO!! Tuu

2.Ndani ya Miaka 23 ya kupigania uzalendo na maendeleo kama wanavyodai hawajahai kufanya mandamano yoyote ya kuhimiza watanzania wafanye kazi au kuunga shughuri yoyote ya maendeleo kama vile kilimo kwanza...

3. Ndani ya miaka 23 ya uwepo wao badala ya kua wabunifu wa shughuri za maendeleo kama wanavyodai wao wamefanikiwa kua Wabunifu wa mitindo kama vile kubuni vazi la MGAMBO walilolipa jina GWANDA na kuongeza rangi NYEKUNDU katika bendera yao..

4. Ndani ya miaka 23 ya uwepo wao wamafanikiwa kubUni kauli mbalimbali za kushangaza Operasheni sangara"" mara operashen Vua gamba vaa gwanda, na nyingine nyingi Ikiwemo ya SASA M4C.. Kauli zote hizi lengo lake hua moja tuu kuitukana CCM badala ya kubuni kauli za kuhamasisha maendeleo kama vile operasheni chakaza umasikini au M4D MOVEMENT 4 DEVELPMENT wao hapana ni ujinga ujinga tuu..

5. Maadili katika swala la maadili viongozi wa chadema wanaandamwa na ukosefu wa maadili kwa mdaa mrefu viongozi wao wengi hawana ndoa wanaishi kihuni huni tuu sasa wamemponza mbowe naye kasaliti ndoa yake na Joyce Mukya na kumtelekeza mke wake wa ndoa liliani mbowe.. ni kwa sababu mdaa mwingi anaongozana na padre mzinifu Slaa lakini pia wabunge wengi wa chama hicho wanazingilwa na kashifa za Ngono zembe ikiwemo usagaji Halima mdee, uwepo wa UCHUMBA SUGU ZITO KABWE, JOHN MNYIKA, DR SLAA, HALIMA MDEE, SUGU wote ni uchumba sugu huku makazi yao hayaeleweki Uyahayaaa mwingi

6.UKABILA: Viongozi wengi wa chama hicho hutokea kaskazini tuu huku wakituhumiwa kuendekeza uchaga zaidi na ukaskazini kuanzia uteuzi wa viti maalumu mpaka nafasi za juu za chama.....

7.Wengi wanabaki njia panda linapokuja swala la uchaguzi ndani ya chama Wanahubiri democrasia na ni wakali saana ukihoji uchaguzi wa ndani ya chama utafanyika lini... Ombi kwa vijana wa chadema charity start at home hembu M4C isukume uchaguzi ufanyikee tuwapime kwanza kama mnaweza kua wajasiri ndani ya chama chenu kabla hatujawapa serikali...

8. Huku wakiwa wameharibiwa na waandishi mashuhuri na wasomi wa kwanza waliofukuzwa nchi zao kwa kupinga serikali zao basi vijana wengi wa chadema ili waonekane wasomi basi Hukosoa serikali kama Fasheni waonekane wameelimika kwa kuelimika ni kukosoa serikali tuuu nje ya hapo hujaelimika

9. Huku wakiandamwa na sifa za kijinga za ukamanda basi vijana wengi wa chadema hujiona wao ni wajuwaji kauli zao hazipingwi ni sahihi hazikosolewi na wala haziojiwi wakizisema ni kutekelezwa tuu... Wakisahau democrasia sio hivyo hata Mungu alipingwa waje wawe wao

10. Mbinu zao zimebaki kama Fisi anaesubiri mkono wa mtuu uanguke au simba aue wale mzoga wanakesho usiku na mchana kuona wapi ccm inakosea kwa mawazo kwa maneno au kwa vitendo .. waseme huku wakiwa mabingwa wa Kudandia hoja na kusema ni zao..

12.Vijana hao walivyowajinga wanaambiwa ondokeni ccm ni chama cha wazee huku hawaambiwi waondoke makwao maana baba zao ni wazee halafu anaesema ccm ni chama cha wazee PADRE SLAA YEYE ANAFUKUZIA MIAKA 80 kweli Nyani haoni Kundule

11. Mwisho wakiandamwa na Ujinga waliolithi kwa mwenyekiti wao ambaye ni Mr ziro basi wote wameiga namna ya kuongea kwa mwenyekiti wao na swaga zote za mbowe akiongea Tundu lisu joshua nasari myika au sugu Tune zao zote zinafanana na mwenyekiti eti ni SAUTI ZA HARAKATI Wizi mtupu na utapeli tu kwa watanzania..

UKIAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO

No comments:

Post a Comment