Ofisi ya chadema mkoa wa Arusha imechomwa moto hivi sasa juhudi za kuuzima zinaendelea...
.
Hapa ndipo walipo ingilia.....
1.Inasemekana kuwa Hapa ndipo walipo ingilia ndani ya Ofisi na kufanya uharifu huo sasa jiulize......
2. Kwanini wasingeichoma wakiwa Nje?
3. Kwanini waingie kwanza ndani ndo waichome?
4. Inawezekana kuwa kuna vitu wimetolewa kwanza kisha kuichoma ofisi hiyo?
5 Kwanini iwe Ofisi hiyo kuu ya Mkoa?
6. Ktuokana na Vioja sana Mkoa hapo inawezekana kuwa wanaficha uozo wa Maovu yao wanayozidi kuyafanya Nchini hapa.!!
7.Mitandaoni naona washaanza kusema maneno mengii Kuwa Mwigamba ndo Muhusika swali, mwigamba si alishafukuzwa? halafu si mnailinda ile ofisi masaa 24 kwa kutumia red brigade? hao ndo wanapaswa kukamatwa na kuhojiwa. isije ikawa wamechoma makusudi kwa lengo la kuchochea mgogoro
8. CDM bana Eti aliyeku mwanachama wa chadema (Mboya) aliefukuzwa ndani ya chama na kuhamia ccm miezi minne iliyopita ambaye kwasasa ni kiongozi ndani ya CCM anashukiwa kuhusika na tukio hili, Maneno haya ni uzushi mtupu, Tunapaswa kuliachia Jeshi la POLICE mambo haya watatupa majibu sahihi na sio kumshutumu mtu tu.
Siasa hizi zitatupeleka kubaya kama hawa wenzetu wameshindwa basi warudi CCM tu ili tulijenge Taifa Leo pamoja.
Pages
▼
No comments:
Post a Comment