Pages

Thursday, December 5, 2013

Send Off ya Dada Selestinal


 Jumanne iliyopita kulikuwa na Sherehe ya kumuaga Dada yetu Mpendwa SELESTINA THOBIAS , Sherehe hii ilifana sana na hakika Dada alifurahia kwa kuagwa kwake siku hiyo, Selestina anatarajia kufunga Pingu za Maisha Jumamosi hii Katika Kanisa la Mtakatifu Albana Angrikana Posta Mpya. Kuanzia saa tisa Alasili

Dada Selestina alisima Journalism katika Chuo cha DSJ na kisha Kuendelea na Masomo kwa kusomea Uandishi pia kwa Level nyingine


 Christina Nyerere, Regina Peter Dafi, Selestina Thobias

 Wolper nae alikuwa Saloon na Christina Nyerere walipokuwa wakijiandaa na Send Off
 Nyerere alikuwa ni Msimamizi wa Selestina siku hii ya kuagwa kwake
 Apa kushoto ni Nyerere , Regina na Bi Harusi mtarajiwa Selestina Thobias
 Ndani Ukumbini hapa Selestina ilimlazimu atutambulishe kwa Shemeji yetu Mtarajiwa , Sherehe hizi zilifanyika katika Ukumbi wa Jeshi ulioko Kurasini Sabasaba mkabara na Chuo cha Uhasibu ukumbi wa Twalipo JWTZ.

No comments:

Post a Comment