DKT Hamisi Kigwangalla atakuwa Kesho Mwanza Kuanzia Saa 4 asubuhi kwa Ajili ya Mdahalo na wanafunzi wa Chuo cha Mtakatifu Agustino Nyegezi Mwanza,
Mada ni :-
MAPINDUZI YA MARA YA PILI AFRICA:-
MTAZAMO WANGU JUU YA ASILI NA SABABU ZA UMASIKINI NA UTAJIRI WA TAIFA.
Kutakuwa na wachangiaji mbali mbali siku hii Lakini Mgeni Rasmi atakuwa ni Dk. Kigwangala Mbunge wa Jimbo la Nzega na Mwenyekiti wa kamati ya Bunge (TAMISEMI)
Vijana wote na Wanavyuo wa Mwanza Tunakaribishwa Nyegezi ST. Agustino ktk Ukumbi M 13.
MWALIKO HUU NI TOKA CHUO CHA ST. AGUSTINO WAKISHIRIKIANA NA WANAMAZINGIRA {SAUTI- SEMA}
MWANA MWANZA USIKOSEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE..........!
No comments:
Post a Comment