Pages

Tuesday, January 28, 2014

Jumba Jipya La Toni Braxton.


Tmz wameripoti mapema leo kuwa star wa Rnb Toni Braxton amenunua jumba lenye thamani ya dola za Kimarekani milioni 3. Kwa mujibu wa chanzo cha taarifa hizi pesa zimetoka kwenye mapato ya kipindi cha maisha yake kama Toni Braxton, Mama na Mgonjwa kinachoitwa “Braxton Family Values” .
Kwa sasa Toni ni jirani na star wa Pop Justin Bieber. Nyumba ina vyumba 4 vya kulala, mabafu 5. Ndio nyumba ndogo zaidi mtaa huo wa mastaa.
toni

Fahamu kuwa Toni’alitangaza kuishiwa mwaka 2010 na ilikuwa mara ya pili kufanya hivyo.

No comments:

Post a Comment