Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na
Profesa Jeffrey Sachs usiku wa juzi, Jumatano, Januari 22, 2014, wakati wa
mjadala kuhusu jinsi ya kuongeza kasi ya mafanikio katika kilimo cha Afrika
kwenye Chakula cha Usiku kilichoandaliwa na Taasisi ya Kilimo ya Grow Africa
mjini Davos, Uswisi, ikiwa ni moja ya shughuli za Mkutano wa Mwaka 2014 wa
Taasisi ya Uchumi Duniani (WEF). Katikati ni Waziri wa Kilimo wa Nigeria Mhe Dr. Akinwumi AdesinaPicha na IKULU
No comments:
Post a Comment