TUMEJIFUNZA UJASIRI
>Vijana waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) katika
Kikosi cha Ruvu, Kibaha, mkoani Pwani kwa mujibu wa sheria wakionyesha
umahiri wao wa kupita sehemu yenye moto kwenye hafla ya kufunga
mafunzo yao,
juzi. Picha na Sanjito Msafiri
No comments:
Post a Comment