SASA KAAMUA KUANZA MAZOEZI ILI KUWEKA MWILI WAKE SAFI NA KUWA NA AFYA BORA PIA, MAZOEZI NI MUHIMU NSANA KATIKA MAISHA YETU KWANI KUFANYA MWILI KUWA HURU NA KUTOA SUMU NYINGI ZINAZOKUWA MWILINI MWETU.
TUFANYE MAOZEZI ILI KUJIWEKA IMARA KIAFYA NA KIAKILI PIA BILA KUSAHAU ULINZI WAKO TU (SELF DEFENCE)
TIZAMA PICHA ZAIDI
Huyu ndo KOMANDO MACHOZI, ANACONDA, LADY JAY DEE, akila mazoezi ya Huuu Haaaa ktk Moja ya Dojo zilizopo mafichoni apa Mjini.
Kumbuka Lady Jay Dee ni Mwanadada hodari sana kwa kila akifanyacho, amekuwa na mafanikio makubwa sana tangu aanze Music mpaka hivi leo, Anaishi kwake , Anamiliki Magari ya Kifahari, Pia anabiashara zake kama Mgahawa unaofahamika kama Nyumbani Longe pia anamiliki Band ya Music inayotambulika kama MACHOZI BAND, Hii ni baadhi tu ya mihanyo yake mwanadada huyu.
Nimke wa Ndoa wa Mtangazaji maarufu sana hapa Nchi Captain Gadna G Habashi .
No comments:
Post a Comment