Bunge hili ni la kutunga Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni katiba ya wananchi na wala sio katiba ya Vyama vya siasa.
Kero za Watanzania ni juu ya maisha bora, elimu bora, miundo mbinu bora, ajira n.k wanategemea kuona Katiba inayoweka misingi ya utatuzi wa kero zao, sio kero za vyama vyao vya siasa.
Wajibu wa mwanzo kabisa wa sisi wabunge wa bunge la Katiba ni kutambua mategemeo na matarajio ya Watanzania juu yetu ili kupata Katiba itakayoweka msingi wa kufikia ndoto zao.
Nitashirikiana na kila Mbunge wa Bunge Maalum la Katiba katika kuhakikisha tunapata katiba yenye kuleta matumaini mapya kwa Watanzania.

No comments:
Post a Comment