Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ujumbe toka Umoja wa Ulaya (EU) kutoka
kwa Mkurugenzi wa EU pembe ya Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika
ambaye pia ni mjumbe maalumu wa EU kwenye nchi za ukanda wa Maziwa
Makuu, Ikulu jijini Dar es salaam leo Februari 10, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mkurugenzi wa EU pembe ya Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika ambaye pia ni mjumbe maalumu wa EU kwenye nchi za ukanda wa Maziwa Makuu, Bw. Koen Vervaeke (kushoto) na Mwakilishi Mkazi wa EU nchini Tanzania Balozi Filiberto Ceriani Sebregondi, bada ya kukutana nao Ikulu jijini Dar es salaam leo Februari 10, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea ujumbe toka Umoja wa Ulaya (EU) ukiongozwa na Mkurugenzi wa EU pembe ya Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika ambaye pia ni mjumbe maalumu wa EU kwenye nchi za ukanda wa Maziwa Makuu Bw. Koen Vervaeke, Ikulu jijini Dar es salaam leo Februari 10, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Bw. Burham Philbrook wa Shirika la Global Volunteers la Minnestota, Marekani, akishuhudiwa na Askofu Dkt. Owdenburg M. Mdegella wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Iringa walipomtembelea na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Februari 10, 2014

Jakaya Mrisho Kikwete akipokea jarida toka kwa Bw. Burham Philbrook wa
Shirika la Global Volunteers la Minnestota, Marekani, akishuhudiwa na
Askofu Dkt. Owdenburg M. Mdegella wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri
Tanzania Dayosisi ya Iringa walipomtembelea na kufanya naye mazungumzo
Ikulu jijini Dar es salaam leo Februari 10, 2014.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment