Pages

Sunday, March 16, 2014

Breaking News;- MGOMBEA CHADEMA HUKO KALENGA KAJITOA KTK KINYANG'ANYILO.....!!!!

Breaking News;

 Mgombea Chadema ubunge Kalenga kajitoa katika uchaguzi baada ya kunusa dalili za kushindwa na mgombea wa Ccm kijana Godfrey Mgimwa.Mzungumzaji wa Chadema mkoani Iringa bwana Sebo Mchele akiri juu ya taarifa hizi na kusema ilikuwa lazima washindwe maana upepo wao sio mzuri kisiasa.
 Inasemekana Kajitoa na Kakimbia kabisa eneo la tukkio kwani anajua itamkuta aibu kubwa sana.

No comments:

Post a Comment