Tukikumbuka kuwa Mbunge wa Nzega alikamatwa Jumapili tena kwa Kupigwa Mabom na kukoswa Risasi ambazo zilimpata Kijana na Kipasua Paji lake la Uso na wengine wengi kujeruhiwa.
Leo kasema haya.....!
"Wiki iliyopita ilikuwa 'nyeusi' sana kwangu. Mama yangu mzazi alifanyiwa
operation ika-complicate, akalazimika kupelekwa Bugando, ambako
amepasuliwa upya! Nikanusurika kuuawa, nikaambulia kuswekwa ndani. Leo
nimefikishwa mahakamani kwa makosa ambayo sikutenda na wanajua
sikutenda! Mama ameanza mazoezi leo. Ninawashukuru sana ndg wote kwa
kuwa nami, kunifariji na kunitia moyo, ahsanteni! Kazi ndiyo kwanza
inaanza."
No comments:
Post a Comment