LEO MAPEMA DK HAMISI KIGWANGALLA ALIPATA FULSA YA KUCHANGIA KATIKA WIZARA YA KAZI NA AJIRA .
ALIPOSIMAMA ALISEMA HIVIII.......
Dk Hamisi Kigwangalla |
"Siungi mkono hoja ya bajeti ya Wizara hii kwa sababu Serikali imetenga bilioni 3 tu kwa ajili ya kutekeleza Hoja yangu Binafsi ya kukuza Ajira kwa Vijana. Mwaka jana ilitenga bilioni 6, mwaka huu chini zaidi, maana yake programu hii itakufa kabla hata haijaanza....maana hakuna nia ya maksudi kama hoja yangu ilivyotaka. .....Vijana ni 'Bomu la wakati' ni lazima tuwatengenezee mkakati wa kufaidika na Uchumi wa Taifa letu. Sisi wengine tunatarajiwa kuliongoza Taifa hili siku za usoni, tusingependa tuongoze huku watu wanaandamana barabarani kila siku kwa shida na kero za kiuchumi!"
No comments:
Post a Comment