Pages

Friday, May 30, 2014

LIVE UPDATES..! Fuatilia TOKA BUNGE LA BAJETI 2014/2015

Wizara ya Nishati na Madini inajadiliwa leo hii na changamoto ni nyi gi zaidi kwa wabunge ambao wanalalamikia kuwa umeme haujafika majimboni mwao..
Mama Kilango Macelela alisimama na kuunga hoja Mkono na akiwataka wabunge wasiwe wanafiki ila wachape kazi na wasiwe walalamikaji sana.

Mzee Ole Sendeka
alisimama na Kutokuunga Mkono Hoja kwani alidai Ufisadi ni mkubwa sana kuanzi BOT na TANESCO kwani kuna mapesa yaliibiwa na kubebwa toka Benk kuu Madola na hayajulikani na yeye yuko na Ushahidi lakini alishindwa kumaliza kuongea kwakushindwa kubalance Muda wake.


Ester Matiko
Alisimama na kuomba wabunge kuwa wakweli na kuacha unafiki, lakini alihoji Pesa zaidi ya Millioni 25 kutumika kubeba Transfoma nne Dar na moja shinyanga.

Mzee Nimrod Mkono
Alisimama na Kumpongeza Rais kwakuwapatia umeme wananchi wa Jimbo lake na kutatua maytatizo ya umeme

Mh. Kange Lugola.
Alisimama na kusem kuwa Rais alipomchagua Pr Muhongo alichagua Get Valve ya mafisadi ndo wanasumbua bunge hili baada ya kuona Muhongo anawabana sana.
Kambi ya Upinzani niwanafiki wamesema wanamuheshimu sana CAG lakini  leo Mnyika amesema haamini CAG na TAKUKURU iundwe tume eti, sasa huu ni unafiki sana.
Lakini Rafiki yangu Ole Sendeka amesem Anaushahidi aulete ushahidi huo wa makaratasi ya Kufungia maandazi kwani CAG ataikata tu kitaalamu sio Uchunguzi wao huo.

Mh. Selemani Zedi.
Alianza kwa kuunga Hoja Mkono.
Alipongeza serikali kwa kufikisha umeme jimboni kwake, lakini mahitaji ya umeme ni makubwa sana, Bukene zaidi ya Mia Mbili Itobo zaidi ya Mia Moja , wanaambiwa kuwa Nguzo hakuna sasa hii naomba ifanyiwe kazi na wizara.

Spika wa Bunge Anna Makinda kaliailisha bunge Mpaka hapo saa 10 Jioni.

Habari za Jioni hii Muungwana wangu...!

Ngeleja

No comments:

Post a Comment