MP wa Chalinze Mh, Ridhiwani Kikwete Aapishwa Rasmi Bungeni jana
"...ewe
mwenyezi Mungu,wewe ndiye unayeweza badilisha vumbi kuwa
moto,pasipopitika pakapitika na ngumu kuwa nyepesi.nipe maarifa na
muongozo katika siku ya leo na zilizo usoni mwangu..." Mussa (R.A)
Ewe Mwenyezi Mungu nisaidie.
Hizo Caption zote Juu Aliandika Yeyey Mwenyewe Ridhiwani ktk Picha Hizi .
No comments:
Post a Comment