Pichani ni MOGUL DAVIS MOSHA |
SUPER MOGUL DAVIS MOSHA MTANZANIA WA KWANZA KUMILIKI GARI HII TANZANIA
Gari
la aina ya Lamboghirn gharama yake kwa hela za Tanzania ni Shillingi
Billioni Moja na Nusu (1,500,000,000). Davis anakuwa Mtanzania wa kwanza
kumiliki gari hili la kifahari ambalo ili ulinunue ni lazima uende
kiwandani na kutoa order maalum tu na sio vinginevyo.
Davis ambaye ameoa na ana watoto watatu ni mmoja wa mfano mkubwa sana wa
kuigwa kwa wengine kwamba kazi ngumu na nidhamu pamoja na uvumilivu
mwisho hulipa na kwamba hakuna njia ya mkato kwenye maisha, na
ikipatikana kwa mkato itaishia kwa mkato huo huo.
Davis amewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa Yanga na kuipatia mafanikio makubwa.
|
No comments:
Post a Comment