PAUL MAKONDA BAADA YA PARIS UFARANSA SASA NI TANZANIA TENA GEITA KANDA YA ZIWA. (PICHA)
Ni nPaul Makonda akiwa ktk Kivuko Cha Kamanga Feli kuvuka Kuelekea Geita.
Tanzania ni Njema na inapendeza Ukivaa Tshert ikiwa na Maandishi ama Bendera Hujisikia Huru zaidi kwani Tanzania ni AMANI na UPENDO.
Kivuko Hiki ni Kikubwa na Hapa Kuvuka toka Upande wa Mwanza kwenda Upande wa Pili wa Kamanga ni zaidi ya Dakika 45 Ivi Majini, Lakini Serikali ya Mapinduzi imewapatia Watanzania Kivuko kila siku bila Kukosa.
Paul Makonda atakuwa Mwanza kwa Siku Kumi 10 akifanya Mikutano na Kuhamasisha Wtanzania Kutambua Mengi zaidi wasiyo yatambua, Amekwenda huko kwa Mwaliko Rasmi wa Katibu wa CCM Mkoa wa Geita Ziara imeandaliwa Kuwaelimisha wanaGeita dhidi ya Uzandiki unaotangazwa na UKAWA kwani wanadanganya watanzania ivo Majibu yatatolewa ktk Mokutano ya Ziara hii.
No comments:
Post a Comment