Pages

Thursday, June 12, 2014

Picha 12, Soko la Karume Likiteketea na Baada ya Kuteketea Muonekano wake kwa sasa...

UKITIZAMA VEMA UTAONA WATU WAKO KARIBU YA MOTO PALE BAADHI YAO WALIKUWA WAQKIJARIBU KUOKOA BAADHI YA VITU LAKINI WALIZIDIWA NA MOTO

Hapa kwa Mbali mbele ya Kiwanda cha Bia pale ambapo Viongozi na walinzi wa Kiwanda hiki walikuwa wanapresha kwa kuhofia Moto huo kufika Kiwandani hapo kwani Moto ulikuwa mkubwa sana wakuunguza Mabanda, Nguo na Miti hivo Moto ulikuwa mkubwa sana

Kwa Hali ya Kawaida Moto huu si Rahisi kuzimwa kwa Zima Motoi na Magari yao kwani Moto mkubwa sana na Eneo Kubwa sana Hili hivo ililazimika Moto Uendelee Kuteketeza tu




 Soko Maarufu la Mitumba Karume jijini Dare es Salaam limetekea kwa moto ambao mpaka sasa haujajulikana chanzo chake. Moto huo ambao unasemekana ulianzia majira ya jana usiku saa tatu umeteketeza mali za mamilioni ya shilingi na kuacha wafanya biashara wengi kwenye wakati mgumu.
 Moto ukiendelea kuunguza mabati yaliyosalia.
 Kila kitu kimeungua.
Watu wakiokoteza mabati
Mabango ya Matangazo ya Biashara yakiwa yametekea pia.

No comments:

Post a Comment