Pages

Wednesday, July 30, 2014

Picha zaidi za Tukio la Ajali ya Basi Huko Kongwa Mapema Asubui hii hizi hapa.

Ajali mbaya sana imetokea leo asubuhi bus kutoka mpwapwa kwenda dar allsaidy limepata ajali hiyo eneo la pandambili wilaya ya kongwa bus limefingana na fuso

Mpaka sasa waliofariki ni zaidi ya 13 .ila bado idadi kamili haijapatikana kwakua wengine wamepelekwa dodoma wengine hosp ya wilaya kongwa ila kwa hapa kongwa waliofariki ni 13 -  na 10 wametambuliwa ila hao watatu bado hawajatambulika ila mait hizo zipo hosp.

No comments:

Post a Comment