Mbunge wa Jimbo LA Nzega Mh DK Hamisi Hamisi Kigwangalla Na Mwenyekiti wa TAMISEMI Leo ametikisa Jiji la Arusha Baada ya Kuhudhulia Uzinguzi wa Kwaya Mini hapo.
Mh Kigwangalla amekusanha Harambee ya Zaidi ya Milioni 19 Kwa Ajili ya Uzinguzi huo Kanisani.
"Tunakushukuru sana kwa kampani yako ya kuongoza harambee kubwa ambayo imefana sana ya kwaya ya kanisa la KKKT Olorieni Arusha."
Alisema Kijana Munisi ambae ni Kada wa Chama cha Mapinduzina Kiongozi pia.
Ikikumbukwa Hamisi Kigwangalla indie Mbunge alietangaza nia ya Kugombea Nchini kwake.
No comments:
Post a Comment