DC TINA MNDEME AFUNGUA LIGI YA WANAWAKE DODOMA.
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini MH Mndeme Jana amefungua Ligi ya Mpira wa Miguu wa Wanawake.
Ufunguzi huo wa ligi ya mpira wa wanawake umefanyika uwanja wa jamhuri Mjini Dodoma.
Mechi ya Ufunguzi imefanyika kati ya Baobao ya Dodoma na Kagera Queens. Ambapo matokeo ya Mechi hiyo Ilikuwa ni bila bila.
Awali DC Mndeme alipokuwa akifungua alipiga Penati na Kufunga Gori Moja.
No comments:
Post a Comment