Pages

Thursday, October 25, 2012

Mkataba wa Kujenga Daraja la Mto KILOMBERO wasainiwa....!!!

Mkurugenzi mtendaji wa Tanroads Eng. Patrick Mfugale (kushoto)  akipeana mkono na mkandarasi wa kampuni ya China Railway 15 Bureau Group Corporation  (CR15G)  Zhang Tonggng jana, mara baada ya kusaini mkataba wa mradi wa ujenzi wa daraja la mto Kilombero lenye urefu wa mita 384.  Picha na Rafael Lubava 
Mkurugenzi mtendaji wa Tanroads Eng. Patrick Mfugale (kushoto) akipeana mkono na mkandarasi wa kampuni ya China Railway 15 Bureau Group Corporation (CR15G) Zhang Tonggng jana, mara baada ya kusaini mkataba wa mradi wa ujenzi wa daraja la mto Kilombero lenye urefu wa mita 384.  
 
Picha na Rafael Lubava

No comments:

Post a Comment