Mkurugenzi
mtendaji wa Tanroads Eng. Patrick Mfugale (kushoto) akipeana mkono na
mkandarasi wa kampuni ya China Railway 15 Bureau Group Corporation
(CR15G) Zhang Tonggng jana, mara baada ya kusaini mkataba wa mradi wa
ujenzi wa daraja la mto Kilombero lenye urefu wa mita 384.
Picha na
Rafael Lubava
Post a Comment