NI Mtoto wa kiume mpole na mtulivu nilimbeba kiukweli nafeel kitu napoona watoto kama hawa wazuri alafu sipati maelezo yakutosha kuwa waliosababisha kupatikana eti wamewakimbia its pain jamani.
Hawa ni vijana na wanafunzi wa DSJ walioamua kwenda kutoa msaa kwa watoto hao
Kahulananga, Khadija na Sangoda
Hiki ni chumba kingine chenye watot wadogo kiasi
Baadhi ya watoto wanasumbuliwa na homa pia mafua na kifua so Dada muhudumu alikuwa anawatengenezea Dawa ni watoto wadogo hawa wa miezi mpaka miaka 3-4
Huyu anaesaini hapa ni Mwalimu toka dsj anafundisha Public relation (PR),
Sistar mlezi wa kituo hiko cha msimbazi ndie alitupokea na kututembeza sehem zote za ndani na nje hutizama na kupewa maelezo yote ya Kituo.
Watoto hawa wazuri ni mapacha
To be Honest nilimpenda sana huyu mtoto.
Mtoto wa kulia hapo Baba yake mzazi tulimkuta hapa, kwa maelezo ya Sista nikwamba mtoto anaweza akalelewa hapo kwa sababu maalum kama wazazi wake wapo. lakini watoto hawa ni walemavu kama unavyoweza kuona katika picha hii, bt wazuri sana na wacheshi wana afya yakutosha.
Bembea za watoto
Baiskeli za watoto
Sikuona hatari kupiga picha na Madam
Nop..... sio mimi
Yes werrrrrrrrrrrrrrrrrrrr.................................
Me & the Reds Perfume Him self......
MSAADA KWA WATOTO YATIMA WA MSIMBAZI SENTA.
Huu unaruhusiwa kwa mtu binafsi kikundi, taasisi, Kampuni nk...
Mimi nnilienda na wanafunzi ambapo mwalimu wa PR alifundisha somo na tukakubaliana kufanya somo na vitendo kwa mahusiano mazuri kama PR so ilikuwa safari nzuri na tulifurahi sana kwani KUTOA NI MOYO NA SI UTAJILI, ndugu yangu usingoje mpaka uwe na mamilioni hiyo hiyo elfu kadhaa kaitoe kwa mwenzio alie na shilingi.
na mungu atakuzidishia.
No comments:
Post a Comment