NGUMI NI MCHEZO KAMA MICHEZO MENGINE
Maneno haya yamesema na mdau ibrahim kamwe 'bigright'.
alisema hivi nanukuu......
"Ajali katika michezo ni sehemu ya mchezo wenyewe ni kuwafanya wengine walio salama katika sakata hilo waendelee kimakini zaidi.
nimeandika
hii kwa kumpinga mwandishi alieandika kuwa ngumi ni mchezo wa hatari na
kuonesha baadhi ya mabondia wakitokwa na damu.
mimi ibrahim kamwe 'bigright'
nasema ngumi ni mchezo wa kawaida kama michezo mengine na ikitokea kama
bondia kaumia basi ujue ni bahati mbaya au ni ajali za kimichezo ambazo
mwanamichezo yoyote yaweza mkuta aidha kwa bahati mbaya au kwa uzembe
wake mchezoni."
Mbio za magari
Mbio za Baiskeli
Uwanjani katika kulisakata Bumbu
Mpira huooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Mbio za Pikipiki hizoo
Uwanja wa Mpira tenaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
No comments:
Post a Comment