Pages

Monday, May 27, 2013

DSJ, ndani ya BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tarehe 03/06/13

Vijana machachali wa serikali ya wanafunzi DASJOSO wameipata Fulsa/nafasi yakwenda Bungeni Tarehe 03/06/2013 .

Siku Hiyo WIZARA YA SAYANSI NA TECHNOLOGIA ndio itakuwa ikiwasilisha Bajeti yake ya Makadilio na Matumizi kwa Mwaka 2013/2014.



Mwaliko huu utawapatia vijana wote watakao shiriki Fulsa zakutembelea Bunge na kuhudhulia Kikao cha Bunge hilo.
Pia kutakuwa na Fulsa yakutembelea vyombo vya Habari vya Dodoma.
Pia kutakuwa na Fulsa yakutembelea Vyuo Vikuu vya Dodoma.
Na fulsa zingine ambazo zitajitokeza kadili wanavyozidi kujipanga vema.

Lakini katika hilo lakujielimisha na fulsa zza hapa na pale Mwili haupaswi kupasuka kwa maumivu yakujifunzxa kupitiliza.

Kutakuwa na Burudani itakayofanyika Usiku wa Tarehe 02/06/2013 hii imekuja baada ya Wenyeji wa Dodoma kutambua umuhimu wa Vijana na Fulsa hivyo wameamua kufanya Party ya Pamoja katika Kumbi Moja maarufu sana mjini hapo Dodoma na yakijanja sana sana.

Hivyo endelea kufatilia Hapa hapa kwa UpDade za NGuvu kuwa Msanii gani na Gani atakuwepo hapo siku hiyo. bt kwakuanzia Msanii anaeitwa AINEA, Mwenyeji na mzawa wa Dodoma atakuwepo kuwatumbuiza siku hiyo. mwenye kibao kama SINA MPANGO NAE alichoimba na MR. BLUE, Pia SOME BODY aliyoimba na SHETA, Pia MOYO UTANIUMA aliyofanya na SARAH ZAWEDE wa Nairobi Kenya.
Hii si yakukosa Mtu wangu.
USAFIRI.
Nauli ni Elfu 38 TU, kwenda na kurudi kwa private Car with Full AC.
Kisha tenga pocket Money yako kwa ajii ya Chakula na Maladhi kwa 3days & 2nights 
Fulsa ni sasa amua na ufanye hii hukusaidia wewe kijana kunetwork na wadau watakaokutoa wewe kimaisha, Kuwa na uchungu wa Maisha na tamani kufanikiwa.
Mawasiliano ni ..
+255 713 302 823
+255 754 724 009



Mwaliko huu umekuja ni baada ya Wizara ya Habari chini ya waziri Peter Dafi kufanya mchakato wakuipata hii chini ya serikali hiyo Matata sana kwa POSITIVE artitude walizo nazo.
Ndipo Mh. Dk, Hamisi Kigwangala Mbunge wa Nzega (CCM) Kuwezesha moja kwa moja hilo kwa Mwaliko Rasmi.

KARIBU

No comments:

Post a Comment