Pages

Wednesday, May 15, 2013

Alichokisema MADAM RITA PAULSEN leo hii hiki hapa.

Nikwamuda kidogo Madam alikuwa anaumwa na watu wengi walikuwaq wakimuombea kwa Hali na Mali Mwanaharakati huyu ili kuona anarudi na afya njema lakini leo kawashukuru kwa kusema haya.
 
"Inalipa sana kuwa mnyenyekevu na mkweli. Kila upatapo nafasi jaribu kuweka tabasamu kwenye uso wa mtu kwa kumfanyia kitu kidogo tu kama kumsifia au kumpa salamu. Penda kuwekeza kwa binadamu wenzako kwa kuonyesha wema kwani huwezi kufahamu atakaye kukusaidia ni nani...

Nawapenda na nawashukuru sana kwa pole zenu. Zinanipa faraja."
Inalipa sana kuwa mnyenyekevu na mkweli. Kila upatapo nafasi jaribu kuweka tabasamu kwenye uso wa mtu kwa kumfanyia kitu kidogo tu kama kumsifia au kumpa salamu. Penda kuwekeza kwa binadamu wenzako kwa kuonyesha wema kwani huwezi kufahamu atakaye kukusaidia ni nani...

Nawapenda na nawashukuru sana kwa pole zenu. Zinanipa faraja.

No comments:

Post a Comment