Wanakundi La The Goodlyfe Crew Moze Radio na Weasel TV kutoka Uganda wamechaguliwa kuingia kwenye kinyang'anyiro cha tuzo ya "Best International Act-Africa" mwaka huu kwenye Black Entertainment Television (BET) Awards 2013. Tamasha la kutoa tuzo hizo litafanyika Nokia Theatre mji wa Los Angeles June 30, 2013.
No comments:
Post a Comment