Hali inakuwa tete katika nchi yetu Kanisani Parokia ya Olasit kumetokea
mlipuko haijajulikana kama ni bomu au la ila watu wamejruhiwa
inasikitisha.
Source: Radio Maria
======
By
Earthmover
Ukiwa Arusha tune FM 106.70
Nukuu kutoka Redio Maria
....watu wengi wamejeruhiwa miguu
......ni mlipuko
.....Olasiti Arusha
...kitu kilirushwa au kutokea chini kwenye moramu iliyo mwagwa....
....kuna watu wanahisiwa kuja eneo la tukio kwa gari na kurusha hiko
kitu na kukimbia kutokomea na gari...maelezo ya mtoto mdogo anaye sadikiwa kuona watuhumiwa....
...watoto wengi na kina mama wamejeruhiwa....
By
Ciril
Kilikuwa ni kigango wakristo wakajichanga na
kujenga kanisa kubwa na palikuwa na ugeni(balozi)kutoka Vatican alikuja
kuzindua kama mgeni rasmi,majeruhi ni wengi ila vifo bado
havijathibitishwa mpaka sasa hivi.Ni eneo la Olasiti kwa wakaazi wa
Arusha au wanaoifahamu Arusha,radio Maria wanatoa taarifa kila mara.
Chanzo Jamii Forum
UPDATES......!!!!
ReplyDeleteNimepokea taarifa kuwa kuna Mama Mmoja amefariki ktk Mlipuko huo na haijajulikana jina lake na anapotokea pia,
Lakini kuna taarifa kuwa Kuna Mtoto aliepoteza uhai lakini sio taarfa lasmi.