Jinsi
ya kuchangia Pesa kwa ajili ya kufanikisha mazishi ya Albert
Mangwea:
Marehemu Albert
Mangwea:
Kwa yeyote uliyeguswa na msiba wa msanii,ndugu yetu Albert
Mangwea unaweza kuchangia pesa kufanikisha mazishi kwa kutuma chochote
ulichonacho kupitia hii ACC:NMB 2012505840 ambayo ni ya kaka yake
anayeitwa Mangwea Keneth.Tigo Pesa 0717 553 905.M PESA 0754 967 738 zote
ni za kaka wa marehemu.Msiba uko Mbezi Beach Goig Dar
No comments:
Post a Comment