Pages

Thursday, May 30, 2013

Tumbaku Marufuku Leo.....!!!

Leo Tarehe31May 2013 ni Siku yakupinga Matumizi ya Tumbaku Dunia.

 Hapa ni jinsi Tumbaku inavyokauswa baada yakutolewa shambani, Picha hii inamuonyesha Kijana Mtoto mdogo akifanya kazi za shambani hii pia hairuhusiwi kwani huyu ni mtoto mdogo na amepata ajira katika shamba la Tumbaku, Ajira kwa watoto wadogo.
 Picha hii inaonyesha Madhara yatokanayo uvutaji wa Sigara itokanayo na Tumbaku, Hii ni Hatari sana.
Hii ilikuja baada yakugundua matumizi ya tumbaku yanamadhara makubwa sana katika Mwili wa Binada

“inasikitisha kuona kwamba, hadi leo hii, Tanzania ndio imebaki nchi pekee ndani ya nchi za Afrika Mashariki ambayo bado ina matangazo, promosheni na ufadhili wa bidhaa za tumbaku. kwa tahadhari tu Magonjwa ambayo yamekuwa yakihusishwa na matumizi ya tumbaku ni pamoja na moyo, kisukari na magonjwa sugu ya kifua”

JE" tunaweza kukomesha matumizi ya TUMBAKU nchini????

No comments:

Post a Comment