Pages

Friday, May 31, 2013

Funga kazi Beach Party hii hapa....!!

Hili ni Bonge la Party Funga kazi hii nizaidi ya Maelezo Men,
Party hii itahusisha Burudani zakutosha Michano, Freestyle Battles, Fashen shows, All Beach Games, Swiiming Compition, na kwenye Stage wasanii wakumwaga Hiii si yakukosa Mtu wangu.

FREE....;;
1. TRANSPORT
2. COCKTAIL....etc

Njoo wewe na mwenzio, usiwikubali kuwa wakuhadithiwa matukio muhimu kama haya njoo ushuhudie mwenyewe na Unetwork na frends pia.
KIINGILIO NI......:::
Gent.. 1@ 7,000/= tu
Ladies2@7,000/=tu
Jamani hata hii msishindweeee njooni tubatikeeeeeeeeee

No comments:

Post a Comment