"Msanii
M To The P aliyekuwa na marehemu Albert Mangwea, M To The P anaendelea
vizuri na matibabu kama anavyoonekana kwenye picha hospitalini Helen
Joseph huko Afrika ya Kusini. Ilikuwa mwili wa marehemu Ngwair ufike leo Jumamosi 1/6/2013 lakini Watanzania wanaoishi Afrika Kusini
wameomba wapate nao nafasi ya kuuaga mwili wa marehemu Albert Mangwair,
Mwili wa marehemu utakuja Jumapili 2/6/2013 utaagwa Jumatatu 3/6/2013 na
marehemu atazikwa Jumanne 4/6/2013 huko Morogoro..Endelea
kufatilia www.peterdafi.blogspot.com kwa habari zaidi.
Kwa hisani ya Millardayo.com
No comments:
Post a Comment