Alichokisema Waziri Mkuu PINGA Bungeni leo asubuhi.
Wazir mkuu Pinda asubuhi hii bungeni
Akijibu swali bungeni la maswali kwa waziri mkuu, pinda amesema wale wanaovunja sheria polisi wawapige tu! Waziri
mkuu akijibu swali bungeni amesema wao kama serikali wamechoka hvyo ni
ruksa vyombo vya dola kupiga wananchi ambao ni wakaidi.
Ameongeza kuwa orodha ya wakaidi inajulikana na watachukuliwa hatua,
zaidi ya hayo amesisitiza kuwa yeyote atakayeleta ukaidi asilalamike
atakapoona kipigo kinamwangukia.
"Wafanya fujo wote kamata weka ndani na wakikataa vyombo vya dola chapa
bakora mpaka wakome na naomba tusilaumiane na kuanza kulaumu vyombo vya
dola..."
No comments:
Post a Comment